Back to All Events
Deadline: 15 March, 2024
TZS milioni 12 - 21 kutolewa kya taasisi au watubinafsi kumi wenye mradi au mipango na mikakati ya Sanaa na Utamaduni Tanzania.
TUMA MAOMBI KUPITIA : nafasiartspace.org au tembelea instagram bio
KWA MAELEZO ZAISI: partnerships@nafasiartspace.org
Nafasi Art Space inayofuraha kutangaza wito wa miradi au mipango ya sanaa na utamaduni Tanzania Kwa mwaka 2024.
Tunategemea takribani waombaji kumi watakaofaulu watapata ufadhili wa TZS milioni 12-21 kila mmoja kwa ajili ya miradi changa ambayo itatekelezwa kati ya Mei ‘24 - Januari ‘25.
Kwa maelezo zaidi kuhusu maombi, tafadhali tembelea "bio" ya Instagram au tembelea nafasiartspace.org