FEEL FREE. Kwa wabunifu, waundaji, na watengeneza mabadiliko! Nafasi Art Space inayo furaha kutangaza wito wa 4 wa maombi ya 2025 Feel Free Grant & Incubation Program! πβ¨ Kwa msaada wa Ubalozi wa Uswisi na Ubalozi wa Kifalme wa Norway, tunatafuta mawazo makubwa na ya kubadilisha yatakayounda mustakabali wa sanaa Tanzania. Je, uko tayari kutimiza maono yako?
Tukuze sanaa pamoja.
Tembelea bio ya kurasa ya Instagram na uombe sasa!
Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 28/02/2025.
*********************************************
FEEL FREE. Calling all dreamers, creators, and changemakers! Nafasi Art Space is excited to announce the 4th Open Call for the 2025 Feel Free Grant & Incubation Program! πβ¨ With support from the Embassy of Switzerland and the Royal Norwegian Embassy, weβre on the hunt for bold, transformative ideas that will shape the future of art in Tanzania. Are you ready to turn your vision into reality?
Letβs grow the arts together.
Go to the link on the Bio and Apply now!
The deadline to submit your proposal is 28/02/2025.
Back to All Events